1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
AfyaGhana

Usiruhusu unene kupita kiasi ukudhuru

29 Desemba 2023

Perpetutal Gbekor aliachwa na mpenzi wake kwa sababu hakupenda unene wake uliopita kiasi. Leo, anapambana kurudi katika hali yake ya awali - kwa kucheza densi. Daktari wetu Chinonso Egemba alikutana naye ili kujifunza nini maana ya kuwa mnene kwa afya yake kiakili na kimwili.

https://p.dw.com/p/4ah5i