1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Masaibu ya wahanga wa machafuko kule Mashariki mwa DR Congo

Benjamin Kasembe3 Novemba 2023

Makala yetu ya Mbiu ya mnyonge safari hii inazimulika changamoto wanazokabiliana nazo wakimbizi wanaoishi katika mahema chakavu, nje kidogo na mji wa Goma nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

https://p.dw.com/p/4YLwq