1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
AfyaGhana

Magonjwa ya zinaa- Hakuna haja ya kuona aibu

29 Desemba 2023

Magonjwa ya zinaa ni ya kawaida. Muwasho au maumivu katika sehemu za siri huweza kuwa dalili za kwanza - hivyo ndivyo dalili za Michael zilianza. Daktari wetu Chinonso Egemba, alikutana naye kuzungumzia aibu aliyopata kuhusu ugonjwa wake wa zinaa na matibabu aliyopata.

https://p.dw.com/p/4ah6d