1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiAfrika Kusini

Mafunzo kwa watoto dhidi ya hatari majini, Afrika Kusini

8 Novemba 2023

Visa vingi vya watu kufa maji Afrika Kusini hutokea katika mabwawa na mito ya ndani. Lakini sasa wakufunzi wanatoa mafunzo maalum kwa watoto kuhusu mbinu za kuogelea.

https://p.dw.com/p/4Ya8f