1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sheria na HakiKimataifa

Kwanini Afrika Kusini inaishtaki Israel ICJ?

11 Januari 2024

Israel inajiandaa kwa ajili ya kujitete katika Mahakama ya Kimatauifa ya Haki ICJ, ikiongeza ikiongeza idadi ya kesi iliofunguliwa na Afrika Kusini. Lakini swali ni kwanini Afrika Kusini inadhihirisha ukosiaji wake wa wazi kwa Israel? Na Je historia ya Afrika Kusini kupitia ubaguizi wa rangi inaweza kuwa shinikizo kwake?

https://p.dw.com/p/4b9Az