You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Kongo Mashariki
Mzozo wa Israel na Hamas
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani
Hawa Bihoga
Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Hawa Bihoga
Taarifa zilizoonesha na Hawa Bihoga
Namibia baada ya kifo cha Rais Geingob
Namibia imeanza awamu mpya ya uongozi baada ya kifo cha aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Hage Geingob. Upi mwelekeo wake?
Kenya: Kukamua sumu ya nyoka kunaokoa maisha
Wenyeji katika kijiji cha Gede kwap kukamua nyoka, mila muhimu kwa ajili ya kuzalisha kinga ya sumu.
Utafiti: Hotuba hasi za kisiasa zaongezeka Marekani
Utafiti unaonesha tangu Trump alipozindua kampeni zake za urais matamshi hasi ya kisiasa yaliongezeka Marekani.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Hawa Bihoga
Taarifa na Hawa Bihoga
Nini kinafanya vijana kuvalia mavazi ya kupitiliza msibani?
Nini kinafanya vijana kuvalia mavazi ya kupitiliza msibani?
Hapo kale taarifa ya msiba ilipokuwa ikiwafikia wengi, kubwa lililokuwa likiwajia vichwani ni kuhakikisha wanafika ulipo msiba na kutoa msaada wa kufariji wafiwa. Lakini sasa hali ni tofauti vijana wana namna yao ya kufika msibani, wakiwa wamevalia kweli kweli. Suali ni je nani yupo nyuma ya mtindo huu wa maisha kwa vijana wa sasa. Vijana Mchakamchaka inaangazia hilo. mtayarishaji ni Hawa Bihoga
Wawakilishi wa Hamas waondoka Kairo
Wawakilishi wa Hamas waondoka Kairo
Wajumbe wa Hamas wameondoka mjini Kairo baada ya mazugumzo na maafisa wa Misri juu ya pendekezo la kusitisha mapigano.
Mashambulizi ya Urusi yauwa wawili Kharkiv
Mashambulizi ya Urusi yauwa wawili Kharkiv
Gavana wa jimbo la Kharkiv kaskazini mashariki mwa Ukraine amesema mashambulizi ya Urusi yameuwa watu wawili.
Ujerumani yaunga mkono upelekaji misaada zaidi Gaza
Ujerumani yaunga mkono upelekaji misaada zaidi Gaza
Baerbock ameunga mkono misaada zaidi ya kibinaadamu kupelekwa Ukanda wa Gaza na pia suluhisho la mataifa mawili.
Netanyahu atishia kuishambulia Rafah
Netanyahu atishia kuishambulia Rafah
Netanyahu amesema mashambulizi yaliyopangwa dhidi ya mji wa Rafah yataendelea ikiwa mateka hawataachiliwa.
Urusi yayadunguwa makombora sita ya Marekani kutoka Ukraine
Urusi yayadunguwa makombora sita ya Marekani kutoka Ukraine
Urusi imesema kuwa imeyadungua makombora sita yaliyotolewa na Marekani kwa Ukraine.
Onesha taarifa zaidi
Nenda ukurasa wa mwanzo