1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Sheria na HakiRwanda

Kumbukumbu ya mauaji ya kimbari Rwanda

Sylvia Mwehozi
8 Aprili 2024

Miaka 30 imepita tangu wanamgambo wa Kihutu walipowaua zaidi ya Watutsi milioni moja na Wahutu wenye msimamo wa wastani, kulingana na Umoja wa Mataifa. Leo hii, Rwanda imekuwa nchi ya tofauti inayoendelea kupona majeraha ya mauaji ya kimbari.

https://p.dw.com/p/4eU94