1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Darasa la mitindo kwa wanawake na wasichana wa Dar es Salaam

6 Machi 2024

Wanawake na wasichana wa Dar es Salaam wanapata fursa ya kujifunza fani ya mitindo kwa lengo la kukabiliana na changmoto za maisha za kila siku. Zaidi tazama vidio iliyoandaliwa na Tatu Yahaya pale alipowatembelea darasani.

https://p.dw.com/p/4dDfO