1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

29.04.2024 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S29 Aprili 2024

Viongozi wa Afrika wanayataka mataifa tajiri kujitolea kuchangia mfuko wa Benki ya Dunia kwa ustawi wa mataifa yanayoendelea na kuyawezesha kukabiliana na jinamizi la mabadiliko ya hali ya hewa+++Bwawa lapasua kingo Kenya, watu 24 wapoteza maisha+++Waziri Kiongozi wa Scotland atangaza kujiuzulu+++Mahakama Ujerumani yaelezwa mipango ya njama ya mapinduzi

https://p.dw.com/p/4fJkc
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Globus Flash-Galerie
Picha: picture-alliance/ dpa

Matangazo ya Jioni, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

Matangazo ya Jioni, saa 12:00 (Afrika Mashariki)