Siasa25.04.2024 Matangazo ya MchanaTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaSK2 / S02S25.04.202425 Aprili 2024Miili ya watu wasiopungua 13 imeopolewa kutoka maeneo tofauti ya mji mkuu wa Kenya kufuatia mafuriko+++Shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch limesema kuwa vikosi vya jeshi nchini Burkina Faso vimewaua raia 223https://p.dw.com/p/4fBRnMatangazo