1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Vijana wanajitokeza kushiriki uchaguzi wa ngazi za mitaa?

Veronica Natalis
9 Aprili 2024

Tanzania inajiweka sawa kuingia katika uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu, ambapo raia watachagua viongozi katika ngazi za mitaani ikiwa ni pamoja na wenyeviti wa seririkali za mitaa na wajumbe. Lakini vijana wengi hawashiriki ipasavyo katika kuwania nafasi hizo.

https://p.dw.com/p/4eaMF