1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ushirikiano wa miaka 60 ya DW Kiswahili na Radio Washirika

Sylvia Mwehozi/ MMT2 Februari 2023

Tangu ianze kurusha matangazo yake mwaka 1963, DW Kiswahili inashirikiana na vituo vingi vya utangazaji. Kuanzia Tanzania hadi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, tunatambua mchango wenu ambao umefanikisha matangazo yetu kupeperuka hewani.

https://p.dw.com/p/4N0Z2