1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upandaji wa miti kudhibiti jangwa Kanda ya Sahel

Saleh Mwanamilongo
18 Januari 2024

Ongezeko la joto duniani linavuruga zaidi Ukanda wa Sahel ambao hivi sasa unakumbwa na migogoro ya kikabila na vita dhidi ya makundi ya kigaidi. Kwenye makala hii ya Mtu na Mazingira tunaangazia miradi kadhaa ya kurutubisha eneo la Sahel katika juhudi za kukabiliana na kuenea kwa jangwa na ukame vinavyoliathiri eneo hilo la Afrika Magharibi. Ni Mtu na Mazingira na Saleh Mwanamilongo

https://p.dw.com/p/4bADL