1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani yaruhusu matumuzi ya bangi

Lilian Mtono
4 Aprili 2024

Ujerumani imeruhusu matumizi ya bangi. Sio watu tu ambao bado wanasherehekea ruksa hii, lakini pia sekta ya uchumi inajiandaa kwa mapato makubwa yatokanayo na zao hilo.

https://p.dw.com/p/4eR2x