1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Saratani ya shingo ya kizazi: Umuhimu wa vipimo vya mapema

29 Desemba 2023

Je, unapata maumivu ya nyonga au damu isiyo ya kawaida kati ya hedhi? Unapaswa kupimwa saratani ya shingo ya kizazi. Hali hii ni ya kawaida sana kwa wanawake wa Kiafrika lakini inatibika ikigunduliwa mapema. Katika makala haya ya Afya Yangu kwa Uhakika!, Daktari Caroline Vundi anakutana na kijana aliyenusurika saratani ya shingo ya kizazi.

https://p.dw.com/p/4ah63