1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Raila Odinga aongoza maandamano ya kuipinga serikali Kenya

Shisia27 Machi 2023

Polisi nchini Kenya imetumia mabpomu ya kutoa machozi kuwatawanya wafuasi wa muungano wa upinznai wa AZIMIO waliokuwa wakiandamana nchini nzima kuishinikiza serikali kupunguza ukali wa maisha. Raila Odinga ambaye ni kiongozi wa upinzani nchini humo alijunga na waandamanaji mjini Nairobi. Sikiliza ripoti ya Shisia Wasilwa.

https://p.dw.com/p/4PK8V