1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JangaKenya

Msalaba Mwekundu waongoza juhudi za uokoaji mafuriko Kenya

Amina Mjahid
29 Aprili 2024

Nchini Kenya zaidi ya watu 45 wamekufa baada ya bwawa la Kijabe kuvunja kingo zake. Shughuli za uokozi zinaendelea na idadi ya waliokufa inatarajiwa kupanda. Athari ya mvua hizo ni kubwa na zaidi ya watu 60,000 wamepoteza makaazi yao. Kuhusu hali ilivyo Amina Abubakar amezungumza na Felix Maiyoo, Msimamizi wa Shirika la Msalaba Mwekundu, Kenya katika eneo la kusini mwa bonde la ufa.

https://p.dw.com/p/4fJVf