1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maadhimisho ya miaka 60 ya DW Kiswahili Dar es Salaam

4 Mei 2023

Kando na maadhimisho ya Siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani, jijini Dar es Salaam, Mkuu wa idhaa ya Kiswahili ya DW, Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania pamoja na wadau kadhaa waliadhimisha pia miaka 60 ya DW Kiswahili.

https://p.dw.com/p/4QvAO