1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mgahawa juu ya jiwe la baharini Zanzibar

23 Julai 2020

Licha ya udogo wake, mgahawa huu uliojengwa juu ya jiwe lilo baharini ni eneo linalovutia wengi na pamekuwa chanzo kikubwa cha ajira kwa wageni na wenyeji wa kisiwani Unguja, Zanzibar.

https://p.dw.com/p/3fpm6