1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mbiu ya Mnyonge: Jinsi Rwanda inavyowanyamazisha wapinzani

Saleh Mwanamilongo
22 Oktoba 2023

Kwenye makala hii ya Mbiu ya Mnyonge, Saleh Mwanamilongo anachambuwa jinsi utawala wa Rais Paul Kagame wa Rwanda unavyotumia mbinu na mikakati mbalimbali kujaribu kuwanyamazisha wapinzani wake sio tu ndani bali hata nje ya mipaka ya taifa hilo.

https://p.dw.com/p/4XsHU