1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Masaibu ya waandishi habari wa Kongo

Saleh Mwanamilongo
16 Novemba 2023

Makala ya Mbiu ya Mnyonge wiki hii inamulika masaibu yanayowakumba waandishi habari na vyombo wanavyofanyia kazi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ripoti ya mwaka 2023 ya shirika la kutetea haki za waandishi habari nchini Kongo, Journaliste en Danger, JED, imesema kulikuwa na mashambulizi zaidi ya 500 dhidi ya uhuru wa vyombo vya habari katika miaka iliyopita.

https://p.dw.com/p/4YsVZ