1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maishaTunisia

Hali ya wahamiaji Kusini mwa Jangwa la Sahara

Grace Kabogo
15 Machi 2023

Rais wa Tunisia Kais Saied, hivi karibuni alisema wahamiaji kutoka Kusini mwa Jangwa la Sahara wanatishia utambulisho wa kitaifa wa nchi hiyo. Je, Afrika Kaskazini limekuwa eneo jipya ambalo wahamiaji na wakimbizi wa Afrika wanakimbilia?

https://p.dw.com/p/4Ohwd