1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bwawa lapasua kingo na kusababisha maafa Kenya

29 Aprili 2024

Watu kadhaa wamefariki baada ya bwawa la Kijabe kupasua kingo zake na kusababisha mafuriko nchini Kenya. Watu kadhaa wameathirika kufuatia mkasa huo, ikiwemo nyumba zao kusombwa na maji na miundombinu ya barabara kuharibika vibaya.

https://p.dw.com/p/4fJkW