1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Akili ya kubuni katika sekta ya muziki

Angela Mdungu-Jokisch26 Februari 2024

Wakati wanamuziki wamekuwa wakitumia teknolojia kwa ajili ya ubunifu wa aina mbalimbali katika kazi zao tangu miaka ya 1950, kumekuwa na maendeleo ya hivi karibuni yaliyoletwa na kuibuka kwa akili ya kubuni yaani Artificial Intellince kwa kifupi AI. Maendeleo haya yanazua pia wasiwasi. Ungana naye Angela Mdungu kusikia mengi zaidi.

https://p.dw.com/p/4cuF7