Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Mahakama ya Uhalifu ya Shirikisho la Uswizi hii leo imemhukumu aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani wa Gambia Ousman Sonko kifungo cha miaka 20/ Wanajeshi wa Israel Jumatano, wameendelea kukabiliana na wanamgambo kote katika Ukanda wa Gaza