1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ijue Jamii ya wadegere wanaodaiwa kuandamwa na laana

Halima Gongo30 Machi 2023

Katika Mbiu ya Mnyonge, Halima Gongo anawaangazia Wadegere, jamii iliyotoka nchini Ethiopia miaka ya tisini, tangu kuja kwao Kenya, watu wa jamii hiyo, wamekuwa wakiishi kwa kujificha kwani jamii wanazotangamana nazo zimewavika dosari ya imani potovu kwamba Wadegere wanaandamwa na laana ya ufukara maishani mwao.

https://p.dw.com/p/4PUjP