1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maishaTanzania

Ulemavu sio Kilema!

27 Machi 2023

Msemo huo umedhihiri kwa waimbaji wa nyimbo za Injili wenye ulemavu wa kuona katika viunga vya mji wa Dar es Salaam, Tanzania. Waimbaji hao wameanzisha kundi la muziki la kuhubiri na kuimba nyimbo za Injili kama njia ya kujipatia kipato badala ya kutumia ulemavu wao kama sababu ya kuombaomba.

https://p.dw.com/p/4PJeL